WAKALI WA BONGO MOVIE TANZANIA YAANI KAMPUNI MAMA HATA TANZANIA BIG ONE ENTERTAINMENT SASA WAJA KIVINGINE TAZAMA HAPA...

 HII NI KAZI AMBAYO IKO KITAA IKIWASUMBUA WATU KWA KILE KILICHOFANYWA NDANI
 HAPA NI PRODUCTION CREW IKIFANYA MAMBO NDANI YA MJENGO HAPO NI OBBY KAZI  NDANI YA MJENGO NA DIRECTOR CEYMBO
 HUYU NDIYE JAMILA MWENYEWE NI MTOTO MWENYE KIPAJI CHA PEKEE SANA ALIYE PICHA NA CREW NZIMA YA BIG ONE ENTERTAINMENT NA AKAPIKIKA SASA ANALETA MAPINDUZI TANZANIA HUSUSANI KWENYE TASNIA YA MOVIES BONGO
 HUYU NI HAJI ADAM AU BABA HAJI AKIWA LOCATION AKISHUTI MOVE YA JAMILA NA PETE YA AJABU
 KAZI IKIENDELEA
 CREW YA BIG ONE IKIFANYA YAKE
 KAZI IKO HOT PANDE ZA LOCATION



 HII NI BAADHI YA CREW YA BIG ONE ENTERTAINMENT

 KWA WALE WASIOMJUA HUYU NDIE MKURUGENZI WA KAMPUNI YA BIG ONE ENTERTAINMENT YAANI MR AZIZ MOHAMED

 HII NI CREW YA BIG ONE ENTERTAINMENT IKIWA NDANI YA CHUMBA CHA BONGO MOVIES
 NI BAADHI YA KAZI YETU




Maoni 1 :

  1. Naitaji cd ya jamila na Pete ya ajabu nitaipata vipi 0653414516

    JibuFuta