NGUZA VIKING 'BABU SEYA' NA PAPII KOCHA WAPIGA SHOW SIKU YA MAGEREZA
Wanamuziki wa Bendi ya Wafungwa, Nguza Viking ‘Babu Seya’ (kulia) na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ (wa pili kulia) wanaotumikia kifungo cha maisha gerezani, wakitumbuiza na wenzao katika maadhimisho ya Siku ya Magereza yaliyofanyika katika Chuo cha Magereza Ukonga jijini Dar es Salaam jana.
Msanii Nguza Viking anayetumikia Kifungo chake Gerezani akiwa na Bendi ya Wafungwa(anayepiga gitaa) akiimba Wimbo Maalum kuhusu Urekebishaji wa Wafungwa unavyofanyika Magerezani(wa pili kulia) ni Jonson Nguza Maarufu kwa jina la Papii Kocha wakitumbuiza katika Maadhimisho ya Magereza Day yaliyofanyika Juni 20, 2014 katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga.
0 maoni: