TAZAMA PICHA ZA MWISHO NA GARI ALILOPATA NALO AJALI MAREHEMU GEORGE TYSON

Pichani ni Marehemu George Tyson akiwa  kijiji cha Chilonwa Chamwino mkoani Dodoma wakati wa zoezi la utoaji wa madawati akiwa kama muongozaji wa kipindi cha The Mboni Show , muda mchache kabla ya mauti kumkuta.

 Mtangazaji wa kipindi cha The Mboni Show, Mboni Masimba katika picha ya mwisho na Tyson
                             Gari aina ya Toyota Hiace iliyomsababishia umauti Tyson

                                                          zipompa na Georger Tyson

0 maoni: