MONALISA AFUNGUKA KUHUSU KIFO CHA X-HUBBY WAKE GEORGE TYSON..NI MAJONZI MAKUBWA
Msanii wa filamu nchini ambaye pia aliwahi kuwa mke wa marehemu George
tayson aliyefariki kwa ajali ya gari jana saa moja usiku akitokea dodoma
katika kuazimisha miaka miwili ya kipindi cha The mbon show ameonyesha
kuumia sana sana na kifo hicho kwa marehemu ndio mtu wa kwanza
kukigundua kipaji chake na kumtoa kisanaa
Monalisa amejikuta akiandika kwa kuonyesha kuguswa na kifo hicho na hichi ndicho aichokiandika mona Monalisa amemlilia Tyson kwa kuandika yafuatayo:
Monalisa amejikuta akiandika kwa kuonyesha kuguswa na kifo hicho na hichi ndicho aichokiandika mona Monalisa amemlilia Tyson kwa kuandika yafuatayo:
0 maoni: