AJALI MBAYA YAUWA MAKONGO DAR TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI TAZAMA JINSI WATU WALIVYOKUFA KWENYE AJARI YA DALADALA ZILIZOGONGANA NA KUUWA WATU 19





 Habari zilizo tufikia ni kwamba ajali hii mbaya imetokea eneo la Makongo. Coaster mbili zimegongana watu 20 wamefariki hapo hapo.
Moja wapo ya Daladala aina ya Coster iliyo husika katika ajali hiyo

0 maoni: