WANAWAKE WAKUTWA SALOON WAKIFANYA MAMBO YA AJABU TAZAMA PICHA HAPA KWA MSAADA ZAIDI
Warembo wanaotoa huduma wakiwa wameficha sura zao baada ya kunaswa na OFM.
Hebu
sikia, saluni inayojihusisha na vitendo vya ’masaji’ lakini kumbe ngono
imo ndani yake imenaswa na kufumuliwa baada ya kukutwa uchafu wa aina
yake nyuma ya pazia.
Saluni
hiyo maarufu kuliko Miji ya Sodoma na Gomora, ipo maeneo ya Sinza
ambapo kwa muda mrefu sasa imekuwa ikijihusisha na uchafu huo na
kusababisha kero kwa wananchi wenye maadili yaliyotukuka.TAARIFA MEZANI
0 maoni: