AANGUA KILIO HUKO TANGA BAADA YA KONDOM KUPASUKA AKIFANYA MAPENZI NA MTU ASIYEMUAMINI KIAFYA


Dada: We acha tu kakaangu yalionikuta hata sijielewi na najuta kumkubali mtu ambaye nahisi afya yake sio salama alafu mpira umepasuka katikati ya naniliuuu...!
Paparazi: He! imekuaje umkubali mtu usiemuamini?
Dada: Shida kakaangu ningekua na maisha mazuri nisingemkubaliaaaaa!!!! Yote hayo yamesababishwa na ugumu wa maisha! Weeeee... Mbona kama unanipiga picha?! Achana na mimi kumbe unanipiga picha?..!
Paparazi: Hamna dada niliwasha kibiriti cha gesi kikagoma sio kamera dada nisubiri usikimbie!!!
Dada: Sitaki! Nakwambia sitaki usinizoee mi nishavurugwa..! Wakati huo paparazi alikuwa tayari kaishapiga picha kadhaa ikabidi aingie ndani ya nyumba hio ya wageni ili akaipige picha njemba iliopasua mpira kwa bahati mbaya alikuta manyoya njemba imesepa! Hatimaye kubahatika kuipiga picha condom hio iliopasuka tu.
Huo ulikuwa mwisho wa safari yetu na stori yetu ila tunazidi kufuatilia Tukio kimyakimya wasomaji wa
                                     Alikuwa peku viatu mikononi

 LEO majira ya saa tatu usiku katika mitaa flaniflani camera ya yetu ilifanikiwa kupenya katika nyumba ya wageni yani Gest House Huko Jijini Tanga na kukutana na tukio hili la aina yake! Mrembo jina lake limehifadhiwa alitoka mikono kichwani huku akipiga kelele uuuwiiiiiii!!! Naenda kupimaaaaa!!! Naenda kupimaaaaaaa..!!!. Kitu ambacho kilisababisha watu walioko karibu na eneo la tukio kushangazwa na kelele alizokuwa akipiga dada huyo!!! Mazungumzo kati ya paparazi na mlimbwende huyo yalikuwa hivi- Paparazi: Dada vipi mbona mbio kelele na Viatu mikononi?

0 maoni: